Kigera

Kigera ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wagera. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kigera imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigera iko katika kundi la Kichadiki.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search